wachina NOMA

wachina NOMA

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2008
Posts
6,722
Reaction score
6,593
Mchina moja alienda ohio kutafuta kahaba wa kulala nae,ila mwenye kuiweza shughuli haswaa atampa donge nono,,,,,,,,
Basi mdada moja akajitokeza nakukubali kwenda na mchina huyo.kufika home kwa mchina shughuli ikaanza kwa style ambayo yule dada ilimshangaza kidogo,kwanza yule mchina alipomaliza round ya kwanza akashuka kitandani akaenda dirishani then akavuta pumzi kidogo kasha akapiga pushapu kidogo,akaingia uvunguni mwa kitanda akatokezea upande mwingine wa kitanda…… shughuli ikaanzatena round ya pili…mara alipomalizatena akafanya vile vile kama round ya kwanza,ikawa ndo style yake akafanya hivyo jumla mara tano.basi yule dada alivutiwa na ule mchezo alistaajabu kuona mtu akipiga round tano mfululizo???????dada ikabidi nae ajaribu akashuka kitandani akaenda dirishani then pushapu kidogo ile KWENDA uvunguni mwa kitanda akakuta wachina WENGINE tisa…………..wachina noma!
 
hahahahaha wachina noma mkuu na jinsi wanavyofananaga
 
wanachakachua karibia nkila kitu,lol!
 
Nimecheka mpaka basi, wamempiga mishikaki. Kama kungekuwa na Tuzo za kichekesho bora cha JF nina uhakika hiki kingekuwepo.
 
masikini dada yetu kumbe alichakachuliwa sana mpaka mara tano,pole dada mchuri
 
hahaaaaaaa, Hiii ni hatari aseeee. goood nimeipenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom