Wachina ni kiboko

Kiboko wamefanyaje
Ndo maana unaambiwa ni kiboko, kiasi kwamba hujaona kwamba hiyo sio PRADO bali PARDO
na cruiser land badala ya landcruiser
 
Kuna ile ya Land rover wao wametoa Landmark sijui......
 
du hao watu ni shiidah hawaumiz kichwa katika brand zake
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
hawa nawakubali wanayo
nokla
singsung
 
Natumaina madaraja wanayojenga sio feki!
 
Ndo maana unaambiwa ni kiboko, kiasi kwamba hujaona kwamba hiyo sio PRADO bali PARDO
na cruiser land badala ya landcruiser
Lakini kesi ya patent ipo hapo. Hapo nyuma tz kulikuwa na kesi kati ya kiwanda cha forma ndimu na forma Limau. Mahakama iliamuru yule wa forma ndimu afunge hiyo bidhaa kwani ni uhuni wa kuchanganya wateja tu kwa vile aliona mwanzilishi wa forma limau anauza sana na akaigilizia kwa kutengeneza bidhaa of the same spicies.

Kuna kesi pia kati ya Apple na Sumsung huko USA na Korea North ni Vurugu tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…