Wachina kariakoo

Wachina kariakoo

Mumwi

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
592
Reaction score
123
Wana jf,
Naomba kujua kuhusu hali ya wachina kariako na sehemu zingine zingine za nchi ni kweli wameondoka? Na je kuna waliokamatwa mpaka sasa?
Tunaomba wale walio karibu na maeneo ya kariakoo watujulishe.
 
Back
Top Bottom