U r such a JOKER.Hivi wewe unafikiri Serikali ya China ikisimamisha biashara na Tz japo kwa week moja uta survive?
Au wakisitisha kutoa Viza kwa watanzania unafikiri Uchumi utaenda?
Usiongee na kutota kauli zisizo na msingi, Chinese wanagombaniwa na mataifia makubwa, ni sisi Tanzania ndio tunaona hawafai.
Nenda kamuulize Obama, Cameron or Waziri mkuu wa Japan ndio watakueleza umuhimu wa Wachina.
We need to protect wageni, ili nao watuheshimu. Lakini tukiendelea na fikira zile za zamani wa huyu mweupe au mchina basi tuwadhulumu au kuwanyayasa, tutaachwa na kuendelea na porojo zetu za umasikini.
Mimi Napinga na kulaani kabisa haya yaliyotokea! Lazima tuwaheshimu na kuwashukuru wachina mana wamesaidia kuleta maisha rahisi, unafikiri bila wao leo hee watanzania wangapi wangekuwa na uwezo wa kuwa na computers, simu etc? mana bei zake zingekuwa hazishikiki...Japo tunaona quality hazifai lakini wachina wanasaidia maisha yanaendelea!
Hivi wewe unafikiri Serikali ya China ikisimamisha biashara na Tz japo kwa week moja uta survive?
Au wakisitisha kutoa Viza kwa watanzania unafikiri Uchumi utaenda?
Usiongee na kutota kauli zisizo na msingi, Chinese wanagombaniwa na mataifia makubwa, ni sisi Tanzania ndio tunaona hawafai.
Nenda kamuulize Obama, Cameron or Waziri mkuu wa Japan ndio watakueleza umuhimu wa Wachina.
We need to protect wageni, ili nao watuheshimu. Lakini tukiendelea na fikira zile za zamani wa huyu mweupe au mchina basi tuwadhulumu au kuwanyayasa, tutaachwa na kuendelea na porojo zetu za umasikini.
Mimi Napinga na kulaani kabisa haya yaliyotokea! Lazima tuwaheshimu na kuwashukuru wachina mana wamesaidia kuleta maisha rahisi, unafikiri bila wao leo hee watanzania wangapi wangekuwa na uwezo wa kuwa na computers, simu etc? mana bei zake zingekuwa hazishikiki...Japo tunaona quality hazifai lakini wachina wanasaidia maisha yanaendelea!
kwao kuandamana hakuruhusiwi sasa hapa itakuwaje ?
Wacha urongo, asilimia kubwa ya bidhaa za soko la bongo ni mchina type wakistopisha tutafutana hapa. Kuna kipindi walitia ugumu kidogo kupata vissa watz walihaha na wengi wakaenda kuzifata Uganda. Lazima tujiandae ipasavyo kabla ya kuwakataa wachina. Majambazi mlioko humu jf dont kill.U r such a JOKER.
Hivi hao Wachina hizo computers na bidhaa zao duni ambazo mara nyingi sana wanaprefer kuzileta huku Afrika WANATUPA BURE au tunazilipia?hivi hudhani wakifunga milango ya biashara ni wao ndio watakaoathirika zaidi kuliko sisi kutokana trade deficit ambayo ipo tayari?na ni bidhaa upi special ambayo China wanayo ambayo haipatikani sehemu nyingine yeyote?

nipeni namba ya simu ya aliyempiga roba nimpe salio la kutosha ktk akaunt yake .............i wish wangepigwa roba ka 70 ivi + wahindi 2000
Kwanini wasirudi kwao kwenye usalama zaidi? Hivi serikali ina data kujua wanalipa kodi kiasi gani? Je, wote hao wana vibali halali vya kuishi na kufanya biashara Tanzania?
Picha ziko wapi?
Stop being simple minded. Hizo bidhaa wanatupa Kama msaada au tunanunua kwa pesa yetu? Sasa kaa hujui kaa biashara ni 2 way traffic kajifunze commonsense kwanza. Usipoteze muda kujibu posts usizozielewa.Wacha urongo, asilimia kubwa ya bidhaa za soko la bongo ni mchina type wakistopisha tutafutana hapa. Kuna kipindi walitia ugumu kidogo kupata vissa watz walihaha na wengi wakaenda kuzifata Uganda. Lazima tujiandae ipasavyo kabla ya kuwakataa wachina. Majambazi mlioko humu jf dont kill.