figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,927
- 63,658
Kwani wasirudi kwao kama wanaona hali ya kiusalama sio nzuri Tanzania. Au wametenda maovu huko kwao ndio wakaamua kukimbilia Tanzania?
we mzalendo, umesoma mpaka darasa la ngapi!?
Unajua ubalozi wa china uko sehemu gani hapa nchini?
Unajua ni Watanzania wangapi wako China (wengine wakigharamiwa na serikali ya China?
Leo wachina wataandamana jiji Dar es salaam wakiwa ndani ya magari yao zaidi ya 100
Mbona thread yako ina-hang?Nilitegemea angalau useme kwa nini wana-andamana ndugu yangu.
RIP marehemu, poleni wafiwa. Lakini mi naamin kuwa matukio haya yataiangusha hii serikali hii ambayo ujamabazi, uharifu na wizi unapangwa na kutekelezwa na walinda amani.
RIP marehemu, poleni wafiwa. Lakini mi naamin kuwa matukio haya yataiangusha hii serikali hii ambayo ujamabazi, uharifu na wizi unapangwa na kutekelezwa na walinda amani.
habari za kusikitisha leo tar 17ock 2011 wachina katka vipepelush vyao walivyobandika ktk maduka yao yote kariakoo na kwingineko wanasema "leo tar hatutafumgua maduka kuomboleza kifo cha mchina mwenzetu aliyeuawa na majambazi na tunasikitishwa na hali ya usalama mdogo wa raia pamoja na wageni tanzania" jamani hili la majambazi serikali wanalionaje?
Barubaru,
Hii si kauli sahihi!
Ukisema hivyo unafuta kauli isemayo Dunia ni Kijiji!...warudi kwao wapi?..na je Watz waliozagaa China na mataifa mengine wakirudishwa wote utafurahia?
Kwa namna yoyote ile Usalama wa raia ni jukumu la serikali, na si kulaumu wageni!
Kwanini wasirudi kwao kwenye usalama zaidi? Hivi serikali ina data kujua wanalipa kodi kiasi gani? Je, wote hao wana vibali halali vya kuishi na kufanya biashara Tanzania?