Wachimbaji wa visima njooni

Wachimbaji wa visima njooni

msemakweli2

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
1,627
Reaction score
1,886
Niko na riport ya surveyor wa DCA nimepima eneo langu maji yapo,proposed ni 100m,nataka mtu atakayenichimbia kisima na kufanya shughuli zote zinazoambatana na kisima kasoro kufunga pump tu kwakuwa nataka nifunge pumpu ninayotaka mimi,budget yangu ni 4mil.Aliye seriously ani PM kwa maongezi zaidi,kabla ya kuchimba kisima tutaandikishiana mkataba na nitataka nitembelee ofisini kwa mchimbaji.

KARIBUNI
 
Kwa nini hao DDCA wasikuchimbiye wenyewe?
 
Maana naona mkuu unamasharti mengi saana ila kama utakuwa tayari kuchimbiwa kisima contact me 0628080096 thanks
 
Back
Top Bottom