Wanatofautiana. Kwa meter moja shs 50,000.
Kwa maeneo kam Dar kupata maji ya uhakika kabisa bila kuumiza ubongo piga meter 100. Hivyo andaa miliono 5 +.
Lakini hata meter 80 itakutoa pia, na hapa andaa milion 4 +
Sina uhakika hapa kama vifaa kama pump na waya ni vya kwako kununa lakini haya nayo ni makubaliano.
Ukitaka uende super kabisa, uwaite watu wa kukupimia na kutafuta kajieneo gani kana mwaga maji zaidi hapo eneoni kwako. Kufanya hivi unaweza ukajikuta unashauriwa kuchimba sehem fulani meter chache tu labda hata 60 kwenda chini. Lakini mtaalamu wa kukutafutia kajisehem anataka laki nne zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.