WACHIMBA VISIMA

WACHIMBA VISIMA

Joined
Jun 13, 2019
Posts
3
Reaction score
0
Tunatoa huduma ya uchimbaji visima na kufanya hydrogeological survey.

Gharama ya hydrogeological survey na kuchimbaji visima kwa mita hutofautiana kulingana na umbali wa site.

Tafadhali wasiliana nasi;

0678418272
0676833297(WhatsApp)

engmazengo@gmail.com
IMG_20190606_143914_033.jpeg
IMG_20190606_141548_071.jpeg
IMG_20190606_123206_654.jpeg
 
This is a huge project, huwezi kuandika kirahisi hivi ii kumshawishi mtu.

Location yenu?
Bei zenu (lazima)?
Muda wa kuchimba?
.
.
.
.
Nk
 
This is a huge project, huwezi kuandika kirahisi hivi ii kumshawishi mtu.

Location yenu?
Bei zenu (lazima)?
Muda wa kuchimba?
.
.
.
.
Nk
Kwa ninavyoijua jf hata ningeandika kurasa 5 kufafanua hili jambo lkn lazma kutokee watu ambao kimsingi sio wahitaji wa huduma hii ila wanasoma maelezo wapate pa kukosoa,kila mtu ni mjuaji humu ndani na kila mtu anavizia post za mwngne ili amkosoe yani ndio tumejizoesha hivyo humu.

Anyways maelzezo mengine yatapatikana baada ya mteja kuuliza na mwenye nia hasa na uhitaji wa jambo hili ni lazma atauliza tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom