figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Wachezaji wa Klabu ya Yanga leo wamegoma kufanya mazoezi yaliyokuwa yafanyike Uwanja wa Uhuru, sababu bado hazijafahamika mpaka sasa.
Stay tuned
Stay tuned
Yupo kimya sana huyu babu,sijamsikia kipindi cha hivi karibuni..Picha??
Kwani mzee Akilimali hakuwepo hapo uwanjani?
Njaa sports clubHizo taarifa zimekanushwa leo
Wa mchangani FCNjaa sports club