Wachezaji wetu wakimataifa

macro

Senior Member
Feb 15, 2019
115
122
Hatimaye mechi ya yanga na Al hilal 1st leg imekamilika hapoJana kwa kutoa sare ya kufangana yaani goli 1 kwa mwenyeji na goli 1 kwa mgeni ( sio matokeo mazuri Sana kwa mwenyeji lakin sio mabaya kiivyo katika mpira wa miguu)

Nilichojifunza na kuona katika mchezo huu hasa wachezaji wa kimataifa walisajiriwa msimu huu na wale waliokwisha sajiriwa toka msimu uliopita ni kuwa

Vyombo vya habar vya hapa nchini vinawakuza saana Hawa wachezaji kias kwamba Hadi sis mashabiki tunaamin tumefanya usajir makubwa sana hadi tunadiriki kubeza Hadi timu zilizotumia mabilioni kusajiri wachezaji wa maana, ligi yetu ya ndani inatupumbaza Sana kwa sababu kivyovyote vile wachezaji Hawa wakimataifa lazima wataperform kwa sababu wanacheza na wachezaji wengi viwango ni duni Sana + na marefa kuwabeba Sana maana nao wanatimu zao au huwa wanapigwa rupia na makanjanja ndani ya timu zetu ili yaendelee kuaminiwa na wanachama wao ili yazikamue timu zetu kisawasawa huku yakisifiwa na wale wanaojiita wachambuzi
Mfano: ukifatilia magoli mengi ya mayele huwa ni offside sana ( nakupa homework angalia magoli mengi aliyofunga mayele karibia magoli 10 yalikuwa ni offside)

Kwenye point hiii rejea performance ya Aucho, djuma, bangala,Moloko na hata huyu Aziz K anapokutana na timu zingine za kimataifa out na za hapa bongo ( anzia mechi ya zesco, vipers, na hata mechi ya Al hilal hapo Jana utajifunza kitu)

Binafsi Jana nimemuona Morrison tu ndio wanatofaut na wachezaji wetu na laiti Morrison angeanzia benchi baadaye akaingia kipind Cha pili tungekuwa na stori zingine leo( mechi nyingi za Simba za kimataifa msimu uliopita ziliamuliwa na Morrison rejea mechi ya UGN ya Niger UGENINI, Orlando pirates nyumbani, asec mimosa nyumbani, red arrows nyumbani )
 
Back
Top Bottom