The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,111
- 115,909
Nilikuwa namjua mchezaji wa Man city anaitwa Mendy ..halafu nikaona Real Madrid Wana ndugu yake kama sikosei anaitwa Mendy pia..
Mara nikaona Leicester Wana Mendy pia Juzi nimeona kipa chelsea anaitwa Mendy.
Kuna anaweza niambia hawa wote wanatoka nchi gani??Wana undugu?
Kuna Mendy wengine wanacheza mpira level hii?
I am just curious