NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,226
- 5,754
Aliyesababisha penati ni mchezaji wa timu gani!Simba au Yanga?Nimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini
Haya ndio mambo niliyoyaona Kwa viwango vya wachezaji wa Simba ....hawastahili kuitwa Tena
Kibu denisi
Mwamba Jana alikuwa ni kama mwanamasumbwi ...nguvu nyingi akili kisoda ....ule ubaya uboya aliupeleka Kwa waarabu.....Alisababisha fouls nyingi zisizo na maana
Kapombe
Poor marking+ unfit + uzee wake vimetugharimu taifa . .huku ndipo kulikuwa kichaka Cha kupitia [emoji32][emoji22]
Appreciation
Pongezi Kwa sajent bacca, mudathiri, na job Kwa kupambana japo mistakes za watu hapo juu zimetukwamisha[emoji24][emoji24]View attachment 3283659
Mnatambulika kirahisi sana!Bongo Kila kitu kinafanyika Kwa kubalance ( busara) than uhalisia .......this is real what happens
utopolo kwenye ubora wako.... 😀 😀Nimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini
Haya ndio mambo niliyoyaona Kwa viwango vya wachezaji wa Simba ....hawastahili kuitwa Tena
Kibu denisi
Mwamba Jana alikuwa ni kama mwanamasumbwi ...nguvu nyingi akili kisoda ....ule ubaya uboya aliupeleka Kwa waarabu.....Alisababisha fouls nyingi zisizo na maana
Kapombe
Poor marking+ unfit + uzee wake vimetugharimu taifa . .huku ndipo kulikuwa kichaka Cha kupitia [emoji32][emoji22]
Appreciation
Pongezi Kwa sajent bacca, mudathiri, na job Kwa kupambana japo mistakes za watu hapo juu zimetukwamisha[emoji24][emoji24]View attachment 3283659
Awezi kukujibu......😀😀Aliyesababisha penati ni mchezaji wa timu gani!Simba au Yanga?
[emoji23][emoji23][emoji23]bhana wee! najiuliza kama ureno alikula chuma mbili ndani kuna Ronaldo sisi kibu tu ndo aizuie Morocco!
Unazungumziaje tukio hili bacca amezoea mpaka anayafanyia golini kwake!Nimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini
Haya ndio mambo niliyoyaona Kwa viwango vya wachezaji wa Simba ....hawastahili kuitwa Tena
Kibu denisi
Mwamba Jana alikuwa ni kama mwanamasumbwi ...nguvu nyingi akili kisoda ....ule ubaya uboya aliupeleka Kwa waarabu.....Alisababisha fouls nyingi zisizo na maana
Kapombe
Poor marking+ unfit + uzee wake vimetugharimu taifa . .huku ndipo kulikuwa kichaka Cha kupitia [emoji32][emoji22]
Appreciation
Pongezi Kwa sajent bacca, mudathiri, na job Kwa kupambana japo mistakes za watu hapo juu zimetukwamisha[emoji24][emoji24]View attachment 3283659
Hapana mkuu ni muda wa kuwathamini wazawaNataka kujua Hemed Morocco na Juma Mgunda wana historia gani ya mafanikio kama makocha kiasi cha kuaminiwa na kupewa timu ya taifa? Au ndio siasa za awamu ya sita kila kitu ni kuwafurahisha wazanzibari
UnprofessionalMnatambulika kirahisi sana! View attachment 3283891
Hivi aliyesababisha penalty ni nani?Sikumbuki kama Mzize alipiga shuti lolote iwe nje ama ndani ya goli Job nae alikuwa kama Mbilikimo kwa majamaa ya Morocco
Kifupi sikuona Mchezaji toka Jamhuri ya watu wa Utopolo alichezq vzr
Magoli yote kasababisha baccaHivi aliyesababisha penalty ni nani?Sikumbuki kama Mzize alipiga shuti lolote iwe nje ama ndani ya goli Job nae alikuwa kama Mbilikimo kwa majamaa ya Morocco
Kifupi sikuona Mchezaji toka Jamhuri ya watu wa Utopolo alichezq vzr
Hahaha.......kajipangeni mwakani Chifu 😅Mipango yetu ilikuwa ni robo final ya CAF champions
Wame zoeshwa huo upuuzi kule ndio maana yanga haitoboi hakuna mbeleko!Bahati mbaya hio mzee
Huo mda haupo, wanatupotezea mdaHapana mkuu ni muda wa kuwathamini wazawa
ila wabongo!?!👿 lini tutaanza kujiamini value za vikosi ni namba tu hukuona Nigeria alivolazimishwa sare na zimbabwe timu ya kawaida kabisa!!Hivi ulifikiri ungeifunga Morocco kwake?
Yaani kikosi cha Morocco kina value zaidi ya 2.8B$ dhidi ya kikosi chetu cha Tanzania chenye thamani ya 0.58B$ then tutegemee maajabu hapo
Angalia Ligi yetu, wanaoongoza ufungaji Bora, almost wote ni raia wa Kigeni
Nyie mnafanya yanga wote tuonekane hatuna akiliAchana na huyu mwandishi wa mchongo