Wachezaji wa Simba wamecheza chini ya kiwango

Hivi aliyesababisha penalty ni nani?Sikumbuki kama Mzize alipiga shuti lolote iwe nje ama ndani ya goli Job nae alikuwa kama Mbilikimo kwa majamaa ya Morocco

Kifupi sikuona Mchezaji toka Jamhuri ya watu wa Utopolo alichezq vzr
 
Uliangalia mechi huku ukiwa na ucingizi mkuu[emoji23][emoji23]
 
Vijana kama wewe ni hasara ( laana) Kwa taifa
 
kib alicheza vizuri sana kapombe na shabalala nao walicheza vizuri sana kwa kweli kwa ujumla wachezaji wetu walijitahidi ubora na ukubwa wa moroco ndio ilikuwa kikwazo kikubwa. moroko sio kipimo chetu hata kidogo
 
Inaonekana ulijamba akili ukifikiri ni jambo cha kawaida kumbe unajamba akili zikapeperushwa na upepo.
 
Nataka kujua Hemed Morocco na Juma Mgunda wana historia gani ya mafanikio kama makocha kiasi cha kuaminiwa na kupewa timu ya taifa? Au ndio siasa za awamu ya sita kila kitu ni kuwafurahisha wazanzibari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…