Wachezaji wa Tanzania nimeamini Elimu in tatizo kubwa kubwa sana.Mchezaji aking'ara katika Klabu ya Simba anawaza kujiunga Na Yanga Na aking'ara Klabu ya Yanga anawaza kujiunga Na Simba.Mfano in Mchezaji Simon Msuva anatamani klabu ya Simba imsajili vivyo hivyo Na mchezaji Mkude wa Simba.Nilitegemea wachezaji hao wangemwomba mchezaji Samatta awake mbinu za kucheza soka nje ya Tanzania badala yakuzunguka Yanga, Simba , Mtibwa ,Mbeya city Na Azam.Ninachokiona Kwa wachezaji wetu no pamoja Na Elimu ndogo, Tamaa ya vijisenti vya Manji Na Mo.