Wachezaji wa bongo badala ya Mkude kuwaza kucheza nje ya nchi anawaza kwenda Yanga

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
338
Wachezaji wa Tanzania nimeamini Elimu in tatizo kubwa kubwa sana.
Mchezaji aking'ara katika Klabu ya Simba anawaza kujiunga Na Yanga Na aking'ara Klabu ya Yanga anawaza kujiunga Na Simba.

Mfano in Mchezaji Simon Msuva anatamani klabu ya Simba imsajili vivyo hivyo Na mchezaji Mkude wa Simba. Nilitegemea wachezaji hao wangemwomba mchezaji Samatta awape mbinu za kucheza soka nje ya Tanzania badala yakuzunguka Yanga, Simba , Mtibwa ,Mbeya city Na Azam.

Ninachokiona Kwa wachezaji wetu no pamoja Na Elimu ndogo, Tamaa ya vijisenti vya Manji Na Mo.
 
Wachezaji wa Tanzania nimeamini Elimu in tatizo kubwa kubwa sana.Mchezaji aking'ara katika Klabu ya Simba anawaza kujiunga Na Yanga Na aking'ara Klabu ya Yanga anawaza kujiunga Na Simba.Mfano in Mchezaji Simon Msuva anatamani klabu ya Simba imsajili vivyo hivyo Na mchezaji Mkude wa Simba.Nilitegemea wachezaji hao wangemwomba mchezaji Samatta awake mbinu za kucheza soka nje ya Tanzania badala yakuzunguka Yanga, Simba , Mtibwa ,Mbeya city Na Azam.Ninachokiona Kwa wachezaji wetu no pamoja Na Elimu ndogo, Tamaa ya vijisenti vya Manji Na Mo.
Kwa kiwango kipi akacheze nje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom