Wacheza show kunengua jukwaani 6*6 ziro

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,789
Reaction score
7,182
Wanna Jf

Kama kawaida yetu sisi wakiumeni tunapenda sana wanadada wanaokata mauno.

Hali hii upelekea wanaume wengi kuingia kwenye hisia za kutaka kuwa na mahusiano ya kimapenzi nae madada wacheza show.

Lakini ni ajabu kwamba kama jinsi wanajinasi kuwa hii n show vile vile 6*6 ni show tu, hawajui kitu au ni kwa sababu wanachoka sana! Au mwendelezo kuwa huwaonavyo sivyo walivyo.

Toa hoja.
 
ngoja waje wacheza show wenyewe walisemee hili
 
Kukatika kwa show na kukatika mtu kakukalia juu anakukandamiza kilo 50 or 70 ni tofauti..Labda kama huyo mtu angekuwa hakuegemei...

Pili kukatika ya show na kukatika kule kwa 6*6 ni tofauti kabisaa ...Ukikatika ktk 6 kwa 6 kama unavyokata ktk show unaweza ukavunja mcholingo wa mwanaume sababu utaupeleka huku, kule mara utachomoka nk......Ukatikaji wa 6 by 6 unahitaji utaalamu....




 
zile show ni mazoez ya mara kwa mara so unakuta hata hamu ya mapenz hawana maana wana mazoez mara kwa mara
 
Heee........kumbee..!!!??
 

Honestly mimi sipendi aisee.
 
Si hamna watazamaji hapo? yeye keshazoea sehemu zenye mwanga na anapata mzuka wa watazamaji labda anaweza ambulia chochote akifanya vizuri ata milioni... wewe unampa sijui elfu 20 unategemea nini?

Wewe ukitaka uone mambo yake leta watazamaji chumbani wanaoweza kupiga makofi (kuna jamaa apa Ntuzu na utafiti hawa wtawaharibia, Mr Rocky baada ya muda uzalendo utamshinda, kabanga ni mkakakmavu atavumilia huyu) na kumtuza kwa noti nyekundu nyekundu utausikilizia mziki wake. just a simpo logic Bro.


 
Last edited by a moderator:



kudadeki! weee noma
 
Kadushelele kapo kama mshale lakini kanauwezo wa kutuliza fujo za mwanamke kikamzimisha na asinengue tena
 

Loh..!..ulivyoongea kama nakuona ukiwa umeushika huo mcholingo...kuna watu wana raha duniani.
 
Wacheza show wa Boziboziana,Awilo longomba,Kanda bongoman au Papa wemba?
 

Aiseeee...umetisha
 

teh teh teh....
kwa kweli maana wengine wamezoea hadhari pembeni inakuwa ngumu, yeah akitaka atushirikishe katika zoezi lake....
 

!
!
mkuu mbona simpo masematiksi hiyo.......gari ikipakia mzigo haiwezi kuwa sawa na ikiwa haijapakia mzigo katika ufanisi wake. Kuna wanaume mashaala mzigo uko kama goti unataka aupe miuuuno miuno ili afe!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…