Chizi Msomi
Senior Member
- Jun 23, 2026
- 129
- 219
Umetag id zako kwa pamoja.Huu uzi ni maaluma kwa ajili ya kuchati bila matusi mana kuna wanaopenda matusi sasa hapa hata unapenda matusi ukija kwenye huu uzi badilika hapa ni kuchati mana napenda kuchati balaa na watu nisiowajua sasa hapa unaweza kumuuomba memba yeyote yule urafiki na mkawa marafiki humu JFl
NAWAKARIBISHA member wote wa JF
Seran
Mshana Jr
uran
Ramtz Jr
Smart911
Mahondaw
Vishu Mtata
RO7 ZA MGOS
Tate Mkuu
Zumbe Mkuu
@na wengine wotee!
KARIBUNI
No nina id 1kUmetag id zako kwa pamoja.
Hizo zingine unazitumia kimkakati?No nina id 1k
Jina langu limekukaa mpaka unyabeni kwako , kikundi cha Machoko wa Jf na ID zenu wakina Stability Eli Cohen na wapuuzi wengi haipiti kutwa bila kunitaja , nyinyi muda wote mnajadili watu ili biashara zenu chafu zipate watejaView attachment 3616396
Umejiunga juzi , umewajuaje hao woote ila adriz una stress sana dogo๐๐๐
Wengine tunajisikia vibaya msipotumentionHuu uzi ni maaluma kwa ajili ya kuchati bila matusi mana kuna wanaopenda matusi sasa hapa hata unapenda matusi ukija kwenye huu uzi badilika hapa ni kuchati mana napenda kuchati balaa na watu nisiowajua sasa hapa unaweza kumuuomba memba yeyote yule urafiki na mkawa marafiki humu JFl
NAWAKARIBISHA member wote wa JF
Seran
Mshana Jr
uran
Ramtz Jr
Smart911
Mahondaw
Vishu Mtata
RO7 ZA MGOS
Tate Mkuu
Zumbe Mkuu
@na wengine wotee!
KARIBUNI
Id 1000 zote hizo za nini mkuuNo nina id 1k
Kikundi cha Machoko Jf lazima kipigwe vita , hizo IDs pamoja na Chizi Maarifa kazi Kujadili watu jukwaani , unakuta jitu zima linaanzisha Uzi wa Kujadili watu na wanaTag wenyewe wanajazana kama walevi wa Visungura kwenye Uzi mmoja kushambulia mtu.Duuuh gari limewaka
Na limewakia namba 5๐น๐น๐นDuuuh gari limewaka
Hiyo ni moja ya ID's zako,unavunga kujisema unafikiri hujulikani? ID iliyoleta huu uzi ni yako.View attachment 3616396
Umejiunga juzi , umewajuaje hao woote ila adriz una stress sana dogo๐๐๐