Lipijema
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 809
- 1,193
Nyakati za usiku wanaweza wakataka kukutesti unapotembea wanakukinga mbele ili wajue kama unawaona kwa jicho lako la tatu au la! Kama ukiwawaona waweza washtukia au kuwasemeza, endapo uwaoni utahisi kama utando wa buibui machoni nawe utaupangusa na kuendelea na hamsini zako. Nimeonelea niwatonye hii stori mida hii ambayo nami nilipewa na shem wangu wa kule Nkasi.