Wachawi

Status
Not open for further replies.

Lipijema

JF-Expert Member
Mar 8, 2015
801
1,180
Nyakati za usiku wanaweza wakataka kukutesti unapotembea wanakukinga mbele ili wajue kama unawaona kwa jicho lako la tatu au la! Kama ukiwawaona waweza washtukia au kuwasemeza, endapo uwaoni utahisi kama utando wa buibui machoni nawe utaupangusa na kuendelea na hamsini zako. Nimeonelea niwatonye hii stori mida hii ambayo nami nilipewa na shem wangu wa kule Nkasi.
 
Alafu wakigundua kama umewaona wanakushambulia sana wakijua kuwa tayari wataumbuka na unaweza ukawataja kesho lkn wakikukinga mbele alafu hukajipangusa tuu na kuendelea zako wanaachana na wewe wanajua hauna madhara
 
hili suala la kukutana kama na mauzi ya bui bui hunitokea sana nyakati za usiku nirudipo home kumbee.. na kwa vyovyoye ni lazima utajipangusa uso...!dah...kumbe ni vijana wanakuwa kazini huko manjiani. "kweli hapa kazi tu"
 
umenifumbua macho asee mi nakutanaga na utando wa buibui sehemu ambayo hata hujui ule utando umejishkiza wapi, kumbe ndo hivi? hatari.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom