Wachawi na taa

Wachawi na taa

Nilikuwa kijiji flan kanda ya ziwa, nilijaribu kulala bila kuzima taa lakin hao vindikima walizima taa!
 
Dawa ya mchawi ni kufungulia sauti kubwa ya redio hata hakugusi ......kuhusiana na mwanga hakuna kitu wengine huwa wanakabwa mchana kweupeeee
ila usije ukaweka wimbo ule wa mbelee kwa mbeleee!! atakachokufanyia hatoamini!!
 
Leo wakat niko kijiwen yalizuka mabishano kuusu mambo ya kichawi... watu walikuwa wanabishana... kwamba ukilala bila ya kuzima taa basi mchawi hakugusi...je wakuu kuna ukweli apo?
Mnajaza server ya JF pasi na sababu, ipo humu thread ya Mtu Mzito imechambuwa kila kitu kuhusu uganga na uchawi na kuna Q&A.

Haya ni matumizi mabovu kabisa ya jukwaa.
 
Leo wakat niko kijiwen yalizuka mabishano kuusu mambo ya kichawi... watu walikuwa wanabishana... kwamba ukilala bila ya kuzima taa basi mchawi hakugusi...je wakuu kuna ukweli apo?
badala ya kukaaa vijiwen kudiskasi ujinga ungeuza hata kahawa na kashata aloo
 
inategemea na aina ya mchawi kuna wengine hata kama uko Tanesco makao makuu wanakukaba na kukikiss juu ogopa sana wale watu
 
Back
Top Bottom