Wachawi na taa

Wachawi na taa

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
567
Leo wakat niko kijiwen yalizuka mabishano kuusu mambo ya kichawi... watu walikuwa wanabishana... kwamba ukilala bila ya kuzima taa basi mchawi hakugusi...je wakuu kuna ukweli apo?
 
hata mi nimeskia hivo na huwa nafanya hivo sometimes
 
Warogaji mnadhan wajinga waje wawape siri zao
 
Dawa ya mchawi ni kufungulia sauti kubwa ya redio hata hakugusi ......kuhusiana na mwanga hakuna kitu wengine huwa wanakabwa mchana kweupeeee
 
cc [HASHTAG]#mshan jr[/HASHTAG] [HASHTAG]#jichawi[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom