Utapewa majibu kibao, mara sijui magereza nayo yamezindikwa mara sijui nini bla bla kibao, Ila mleta mada jua kitu kimoja, uchawi hakuna zaidi ya stori tu..za sisi watu wa ngozi nyeusi ambao hatuwezi kufunua vitabu na kujipatia maarifa, zaidi ya kutegemea soga za vijiweni tu!