OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Hivi kuna tofauti ya "uchambuzi" na "kutoa maoni" kwa muktadha wa uzi huu??
kuna tofauti mkuu!!
hao ndugu hapo ni wachambuzi.
polepole alipata division zero azania
Huyo Deus Kibamba wa Jukwaa la Katiba ni kiboko aisee! Napenda sana kumsikiliza kwenyeNi kawaida sana kwenye jamii kuwepo na wachambuzi mbalimbali wenye uwezo wakujadili mambo kwa kina!!
Hawa watu ni muhimu haswa kwenye mambo yanayogusa taifa via Media na Kwenye mitandao ya kijamii..
Nadhani watu wengi tumeshawasikia hawa Jamaa Wawili.
1. Deusi Msipotwa Kibamba na
2. Humphrey PolePole.
Jamaa wako vizuri kwenye kuishika jamii haswa kwenye chambuzi zao Mujarab kabisa..
Kati yao ni Nani ambaye huwa unamkubali zaidi na unapenda kumsikiliza zaidi.
Taja mmoja, ukisema na sababu kidogo si vibaya.
Nitaweka CV zao fupi hapa ili uwafahamu zaidi..
Huyu jamaa kwa sasa ni DCkuna watu wasiotaka kusikia wasiyoyataka watakuka kuruka hapa na kuanza kumponda kijana wa watu polepole