Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 5,035
- 4,912
Ni kawaida sana kwenye jamii kuwepo na wachambuzi mbalimbali wenye uwezo wakujadili mambo kwa kina!!
Hawa watu ni muhimu haswa kwenye mambo yanayogusa taifa via Media na Kwenye mitandao ya kijamii..
Nadhani watu wengi tumeshawasikia hawa Jamaa Wawili.
1. Deusi Msipotwa Kibamba na
2. Humphrey PolePole.
Jamaa wako vizuri kwenye kuishika jamii haswa kwenye chambuzi zao Mujarab kabisa..
Kati yao ni Nani ambaye huwa unamkubali zaidi na unapenda kumsikiliza zaidi.
Taja mmoja, ukisema na sababu kidogo si vibaya.
Nitaweka CV zao fupi hapa ili uwafahamu zaidi..