Ndio tatizo la kufoji, inaonekana barua imeandikwa mwaka huu. haiwezekani may 2016 ikaandikwa may 2017,ingekuwa may 2015 ningeelewa kiaina kwakuwa mwaka 2016 unakuwa haujazoeleka sana katika vichwa vya watuTareh 29 may 2016 ndo alijibu barua ya barick gold ilioandikwa tareh 4 may 2016. Au mimi ndo sijaelewa!
yaa bord ya acasia lazima idili na huyu md kilaza hata mtoto wa form two hawezi kufanya blandaz kiasi hichoBarua ya Mei 29, 2016 inajibu barua ya Mei 04, 2017! Maajabu! Huyu aliyeiandika nadhani ana uwezo wa kuona "mambo yajayo; ya nyakati za mwisho".





Halafu aliyeleta huu utaratibu wa kubadilisha majina ya kampuni ili kukwepa kodi atafutwe ili Tumpeleke uwanja wa uhuru tumpige mawe mpaka ageuke vumbi
Kweli hujaelewa,alijibu barua iliyoandikwa 4.5.2017 tarehe 29.5.2016.Tareh 29 may 2016 ndo alijibu barua ya barick gold ilioandikwa tareh 4 may 2016. Au mimi ndo sijaelewa!