Wachambuzi huyu msajili amepona??

Wachambuzi huyu msajili amepona??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,880
Inasikitisha sana angalia hioo barua kuna tar 2016 may 29
Ndan AMESAHAU kubadili alipokea 4may 17
 
IMG-20170612-WA0030.jpg
 
Tareh 29 may 2016 ndo alijibu barua ya barick gold ilioandikwa tareh 4 may 2016. Au mimi ndo sijaelewa!
 
Halafu aliyeleta huu utaratibu wa kubadilisha majina ya kampuni ili kukwepa kodi atafutwe ili Tumpeleke uwanja wa uhuru tumpige mawe mpaka ageuke vumbi
 
Aisee naona kabisa kulikuwa na hoja ya msingi kwa MD wa ACCACIA KUKIMBIA KAZI NA NAONA WALIBWETEKA na kuacha kuisajili kampuni sasa akivyoshtukiwa ndo akaanza kujitahidi kuhusu registration
 
Tareh 29 may 2016 ndo alijibu barua ya barick gold ilioandikwa tareh 4 may 2016. Au mimi ndo sijaelewa!
Hiyo barua ni ya mwezi jana tu baada ya kuona kisheria tutawabana endapo wakitaka kulipeleka swala hili mahakamani.
 
Barua ya Mei 29, 2016 inajibu barua ya Mei 04, 2017! Maajabu! Huyu aliyeiandika nadhani ana uwezo wa kuona "mambo yajayo; ya nyakati za mwisho".
 
Barua inenyofolewa kwenye fail lakin ajabu haina folio namba wala mhuri either wa day of received au kama ni ya kutuma basi official stamp iwepo ila hapo hahhaha
 
Barua bya Mei 29, 2016 inajibu barua ya Mei 04, 2017! Maajabu! Huyu aliyeiandika nadhani ana uwezo wa kuona "mambo yajayo; ya nyakati za mwisho".
Samahan lakin sijaona 2016
 
Back
Top Bottom