Wachagga wana Hadi Barabara Zao!! Look.

Siyo Wachagga road tu kuna Wapare, Wasangu, Wasukuma, Somali, Makua, Zaramo, Nyamwezi, Kikuyu, Masai, Swahili, etc. Karibu utembelee Arusha utaijua vizuri mitaa yote siyo umetembelea mtaa mmoja tu wa Wachagga

 
Jengo linaloonekana kwa chini kulia ni ofisi za NHC tawi la Arusha na ndio njia panda kwenda Krokoni na Railway station. Jengo kubwa ni hotel ya BACKPACKERS ambayo imeshikamana na Mt. Meru petrol station. Ukiendelea kulia unaenda Summit Centre, Shoprite ma Kilombero market. Arusha raaha, tatizo vumbi!
 
Kwa hiyo best yangu kwenye huo mtaa ni wachaga tu ndo huruhusiwa kupita?
Za mwaka mpya best? shansarie hajambo? Mpe salaams nyingi sana.

mi mzima sana nimekumiss hadi nashindwa kuandika afu nilikwambiaga vimacho vyako tu vyanikosha lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…