Wachagga wamachame wakemea kufananishwa na wapalestina

Wachagga wamachame wakemea kufananishwa na wapalestina

Sasa ni mwendo wa sala kwenda mbere hadi kieleweke.
 
True, Aisee hili ni janga,

Wadada wengi WA kimachame upata Sana kigugumizi kujitambulisha Kwa wanaume wanapokua wanaohitaji mahusiano.

Pia mahusiano Yao mengi hukutana na mishale mingi kias kwamba hata awe mwema vipi,

Siku akiteleza Kwa mwenza wake, na bwana ake akaenda kuomba Ushauri,

Ule umachame WA Binti, huhitimisha matokeo ya Ushauri atakaopewa mwanaume wake.

Kiukweli Hii Sio sawa,
Hawa wadada tuwahurumie.

Hawakuchagua wao kuzaliwa wamachame
 
True, Aisee hili ni janga,

Wadada wengi WA kimachame upata Sana kigugumizi kujitambulisha Kwa wanaume wanapokua wanaohitaji mahusiano.

Pia mahusiano Yao mengi hukutana na miahale mingi kias kwamba hata awe mwema vipi,

Siku akiteleza Kwa mwenza wake na bwana akaenda kuomba Ushauri,

Ule umachame WA Binti, huhitimisha matokeo ya Ushauri atakaopewa mwanamke.

Kiukweli Hii Sio sawa,
Hawa wadada tuwahurumie.

Hawakuchagua wao kuzaliwa wamachame
Buraza kede acha mambo yako
Wachagga wa asili ya machame wameamua kupanda madhabauni kumlilia mungu wao na kukemea wale wote wanaowafananisha na wapalestina.


View: https://youtu.be/5IeJt2A6-Gc?si=xfpvD_Hp2To-DNDg

Buzara Kede mbona Wapalestina ni binadamu bora kuliko hata wazayuni?sasa hao wapalestine wa bongo wamekuwa na upungufu wa uelewaa?
 
Wadada wengi WA kimachame upata Sana kigugumizi kujitambulisha Kwa wanaume wanapokua wanaohitaji mahusiano.
true. kiujumla knjaro na chugga akili ya demu ni GB 200 hakuna mzembe hapo. dume ukikaa kizembe utachezea vitasa hadi akili ikae sawa.

ila saivi wameshajishtukia watu wa mikoa mingine wanawaogopa. wakienda huko wanajificha sana kujitambulisha hawasemi mojakwamoja kama ni wa huko japo wengine ukiwaangalia tu maumbo yao unapata majibu wanakotoka ni wapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom