Wachagga na Serikali ya Magufuli

Status
Not open for further replies.

Message kama hii ni moja ya sababu ya kutowachagua ktk madaraka. Nahisi unajaribu kupeleka ujumbe fulani kwa rais, lakini kwa mwenye ufahamu, wote walioteuliwa ungewapima kwa uwezo wao badala ya kuangalia makabila yao.

Kuna mtu kauliza ni makabila mangapi yameingia ktk uteuzi huo? Nchi yenye makabila zaidi ya 120, kwa nini unadhani kabila lako lina maana maalumu?
 
Mbona mlipokuwa mnateuliwa mwanzo hakuna aliyesema sasa kutokupata nafasi imekuwa shida mbona TPA mlipokuwa mnapora tulikuwa kimya tulieni mnyolewe
 
Mbona Waha mnapendaga kujipendekeza hivyo? Warundi wakubwa nyie, mtarudi kwenu sasa hivi! Nani alikudanganya kwamba huyo mama ni Mha?
Acha kukaza shingo ndugu, Waziri wa elimu, Bi. Joyce Ndalichako ni mwenyeji na mzaliwa wa mkoa wa Kigoma.
 
mpuuzi kweli wewe,mwizi kuna ustaarabu hapo,ulishawahi kuibiwa wewe mwanamke wa kizaramo?kafute ujinga ndo uje humu jf
 

utumbo wa kitimoto
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…