Na wewe? Waziri wa Elimu je? Lakini ulimtaka nani? Mwache Jumanne atuwakilishe!Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed
Na wewe? Waziri wa Elimu je? Lakini ulimtaka nani? Mwache Jumanne atuwakilishe!
Mmeibia Nchi Hii Kwa Muda Mrefu Na Sasa Ni Lazima Muisome number kama Wakazi wa Mabondeni.
Wote wapare hao.Ndalichako ni muha, mtu wa kigoma, Maghembe ni mpare mtu wa mwanga
Usiwe mjinga, kwani kuna mahali pameandikwa wachaga lazima muwepo? Unataka kuniambia kuwa mababila yote zaidi ya 50 hapa Tz yanawakilishwa isipokuwa wachaga?? Hovyo kabisa!
Uchanguzi wa viongozi ukuangalia ukabila, ametumia vigezo vya uwezo. Nathani wewe umetumia vigezo vya ukabila kuchambua uteuzi aliofanya Rais Dr Magufuli
Don't get me wrong, MM ni mchagga lakini sipendi kuangalia vitu kwa ukabila.
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed
Bhahahahahahaha, hilo nalo neeeeeenohalafu kabla hujajiuliza hili jiulize wabunge wangapi wa ccm ni wachaga?? wachaga wangapi wako kwenye vitengo ambavyo wangefaa kuteuliwa na niwaadilifu kwenye mali za uma hata kwa kiasi tu maana wezi ni wezi ila wengine ni majizi
Mmeibia Nchi Hii Kwa Muda Mrefu Na Sasa Ni Lazima Muisome number kama Wakazi wa Mabondeni.