Wachaga wazidiana ujanja.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Wachaga watatu walikuwa wakimiliki maduka yaliyoungana katika jengo moja ila milango mitatu tofauti.
Mlango wa kushoto SHIRIMA kaandika 'BEST DEALS'.
Mlango wa kulia MREMA kaandika mlangoni 'LOW PRICES'.
Mlango wa kati,MASAWE akaona akizubaa hawa wajinga watampiga bao,nae akaandika mlangoni 'MAIN ENTRANCE'.
 
aisee Massawe ni soo, manake kila mteja ataingia kwa-kwake kweliiii
 
kumbe wachaga ni wasomi hivyo?
 
Hahahaaaaaa
 
Dah! Nieongeza siku za kuishi.......................
 
hehehe hehehe hehehe heheh inhi inhi inhi inhi eeeeeeeeee wachaga nouma.
 
Du, hata katika mazingira ya kawaida tu naona kama masawe wana akili kuliko koo nyigine zote!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…