Wachaga wawa vivutio; kupungua kwa foleni Dar

jamaa linajifanyisha chizi tu kumbe lijitu lizima na akili zake!!!
 
Nina kafundi kamoja ka dish juzi dish kwa bi mkubwa limecheza , nakapigia simu kaende kakarekebishe, kakaniambia kako moshi yangu mwezi wa kumi na mbili uanze kanawafungia wachagga madish kwenye nyumba zao mpya, kaksema kako busy mno , pale alipokuwa anaongea na mm kuna wengine wamemsimamia wamchukue .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom