Wachaga wawa vivutio; kupungua kwa foleni Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachaga wawa vivutio; kupungua kwa foleni Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 23, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Kama ningekuwa karibu na Mungu ningemwomba kilwa mwezi uwe December;;wapendwa sijui huko mbagala kimara ila wa huku maporini tegeta mwenge mpaka mjini barabara nswano kabisa
  Hili lilinifanya kutafuta sababu maalum na kuakikishiwa na mmoja wa maofisa wapolisi barabarani anaependa sana kukaa pale morocco kwamba WACHAGA ndio walkuwa wakijaza magari yao


  Kutokana na muda hu wa kuhesabiwa wengi wamefungia magari majumbani mwao na wengine kusemekana hata watoto awagusi maana funguo wameondoka nazo ..kwa kweli hili kwanza napenda
  kuwapongeza mashemeji zangu kwa kuwa mlijiandaa kweli wakati mnakuja dar toka uru/marangu/rombo/kiraracha/kishumundu nk

  Pili nawapongeza kwa kujali mila maana wengi wa waliobaki hapa nawahakikishia wazazi wao wanakufa maskini na njaa hata kwenda mbeya singida na mbaya zaidi wengine hapo morogoro naamini kwa hili mliobakia embu tuachieni wapogoro barabara zetu ikifka dec mwende kwenu jamani mnataka kututtesa janaury mpaka dec loh!!!


  K wa mara nyingine nawapongeza kwa kujaza hii mikopo ya japan maana walikuwa wanahangaika sana wapi wataimwaga ila kwa ili mungu atowwaacha kwa rehema zenu

  kwa kumalizi
  SHIMBONYI MAI/MBE KANYI,HAPPY EASTER!!OTE HAPPY EID MUBARAK!!MBUTANA ,NGACHANGANYIKIO BANA!!OOHH HAPPYBIRTHDAYii WAI NGASUKO ULALU!! HAPPY CHAGGADAY!!CHA NGAMKUMBUO MALYA,MOSHI,MAKAWIA,LYIMO,MOSHA,NGULI NA WOSE ::MERRY XMASS N HAPPY NEW YR 2011

  NACHO NAKUWIA NGIICHI KABISA

  ULAKUCHA
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii sio kweli wengi wamepaki magari yao kwa ajili kuepuka ajali za kijinga na kizembe.

  Alafu foleni mbona kama kawa maeneo ya Morogoro road
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha ha ha P Didy as always- Hilarious
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  PURPLE: AMBAYO MINGI MVUA IKINYESHA...NAYO INACHAPA USINGIZI NA INAGOMA KUWAKA:teeth:
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  umeonaaaa eeehhhh

  mkuu f80

  nimesema kwa upande wetu wa porini tegeta mwenge mpaka posta
  nyie wa morogoro yawezekana mmejaliwa na wahaya wengi uko awataki kurdi kwao sie wachaga kila baada ya nyumba now tunakula kuku mpaka january 5-10 kasheshe inaanza tena angalau sikukuu tunakula kwa umma...kuna chumba cha bur mwezi mmoja huku boko ukikipenda unalipia miezi 3 mitatu karibu uonje ladha hata usipopenda unakuwa ushapata mana tunayokula wenzako..
   
 6. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Oiyo ngiki uuta kunu mrini mpaka inu, enda kanyi undeirikira wasauyo, ulawashime wesa shayo, macha na msaki kwamba ngiwairikira
   
 7. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Hii mada imekaa kiutani utani lakini ina ukweli ndani yake siku mbili tatu foleni za magari zimepungua sana mjini nikajiuliza kulikoni pengine Pdidy katengua kitandawili.
   
 8. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Na oweny ngiwairika wooose mbeee
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  nukundi inyi ngiende kanyi alafu nungikapie mka oko ama nuore maana gan mbe kanyi..wahi ngimuwohi ngitafuta nauli ya mka naende amoyi afadhali nakapwe na wakwe kuliko vijana oooh mjini waore ngero wekusalua kila andu wahi aore mka ngilemkapa wanda mpka kachanganyikio kabisa..oooottteeee odemdede ngienda fo ulakusokichotarimo mbekanyi
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  mi nafikiri soln dec twenden kwetu jamani tuachien wazaramo nchi yao
   
 11. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Jam imehamia Moshi mjini.

  Mi sijawahi kuona migari miiingi namna hii huku Moshi.
   
 12. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wachagga wengi wanaishi Kimara! so was hoping kwamba foleni yetu ya kuanzia Shekilango mpaka Kimara mwisho ingepungua kipindi hiki!

  Nadhani foleni imepungua kwa sababu ya watoto kufunga shule - kama ilivyokuwa mwezi wa 6 -7!

  Anyways kwa wale wachagga waliochukua uamuzi wa kwenda Milimani heshima sana na mkumbuke kutuletea Mbege japo boora moja!
   
 13. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu nakupa experience ya Arusha hakuna foleni tangu j3.
   
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu kama ww sio mpare omba radhi hapa
   
 15. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Huo ujinga wenu upelekeni moshi,magari yote ya dsm ni ya wachaga,
   
 16. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mkishanunua vigari vyenu used,mnajiona bora kuliko makabila mengine
   
 17. kimsboy

  kimsboy JF-Expert Member

  #17
  Dec 25, 2016
  Joined: Oct 17, 2016
  Messages: 2,345
  Likes Received: 1,968
  Trophy Points: 280
  aikaa
   
 18. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #18
  Dec 25, 2016
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,667
  Likes Received: 17,711
  Trophy Points: 280
  Siku hizi kuna mod kabisa katengwa kwa ajili ya kuedit mwandiko wako
   
 19. B

  Babati JF-Expert Member

  #19
  Dec 25, 2016
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 30,972
  Likes Received: 24,100
  Trophy Points: 280
  Mkuu huo uandishi wako, yataka moyo sana.
   
 20. kopites

  kopites JF-Expert Member

  #20
  Dec 25, 2016
  Joined: Jan 28, 2015
  Messages: 4,833
  Likes Received: 4,064
  Trophy Points: 280
  Daah,uzi wa toka 2010 huu!..
   
Loading...