Tatizo ni
Hawajui mapishi mtoa mada ushawahi ona chapati ya binti wa kichaga ?
Ni magogo kitandani in short hawajitumi
Hawapo romantic kabisa
La mwisho na ambalo ni la umuhimu ni hawana chura
Sanchi mwenyewe mchaga, Hana chura?? Wachaga wanachura mnoo na wapo vizuri SanaTatizo ni
Hawajui mapishi mtoa mada ushawahi ona chapati ya binti wa kichaga ?
Ni magogo kitandani in short hawajitumi
Hawapo romantic kabisa
La mwisho na ambalo ni la umuhimu ni hawana chura
Weeeeeee Labda sio hao wawili nilioona jamaa zangu wanafituana nao dailyOngezea na Wameru hapo mkuu.
Sanchi mwenyewe mchaga, Hana chura?? Wachaga wanachura mnoo na wapo vizuri Sana
Sawa lakini maumbo yao yanakatisha tamaa
Twende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa?. Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi wanajituma hawa viumbe htr, kumkuta dada wa kichaga hajishughulishi ni nadra sana. Mwanaume ukioa hilo kabila jiandae kuwa tajir soon.
Wanawake wa kichaga wanajua kupenda jaman ukimpata aliekupenda utafurahi, hawana tabia za kimalaya kama makabila mengine akitulia katulia otherwise wewe mwanaume uwe hueleweki.
mwanamke wangu ni moja alochangia mpaka nikapanga japo nilikua sina kazi na nilipanga alinipa sana moyo wa kupambana mpaka now niko vizuri.
Nimefanya research yangu nikagundua wanawake wa kichaga ndo wanaongoza kwa kuolewa why?? Wanaume tunatafuta stability kwenye ndoa na sio mbwembwe za 6x6. Tunapenda mwanamke anayejituma, nenda mavyuoni utaona dada anaeuza boxa, bikini, macava ya cm, ubuyu wengi ni wakichaga.
Tukitoa kasoro zote zingine walizonazo ila hawa viumbe wanafaa kuolewa usiangalie sijui magogo, hawako romantic, wachaga watabak kuwa juu sana hasa kwa upande wa kina dada, huo ndo ukweli.
NOTE: Wachaga hawezi kuwa na wewe kama akiona huna future yoyte hawa wanawake huwa wanaweza kuona mbeleni wewe life ako itakuaje. Utamfanyia yote ila atavumilia.
subiri siku moja wakupuzishe kwa sir God kwaajili ya kutaka umiliki wa mali na ukiwa huko kuzimu utaturejea mrejesho
[emoji28][emoji28][emoji28] ha ha ha uko vizuri mkuuMkuu wewe si utaoa rwandese? Tunakukumbuka Sana mkuu! Hahaaaa, kwema lkn?
Kwamba wanaume wengine ambao hawajaoa uchagan huwa hawafi kabisaaa, acha hizo hamna mtu wa kukuua shida tu zinatosha kumaliza sio binadamu mwenziosubiri siku moja wakupuzishe kwa sir God kwaajili ya kutaka umiliki wa mali na ukiwa huko kuzimu utaturejea mrejesho
Kwamba wanaume wengine ambao hawajaoa uchagan huwa hawafi kabisaaa, acha hizo hamna mtu wa kukuua shida tu zinatosha kumaliza sio binadamu mwenzio
Wa machame na kibosho wa nini boss?Si wachaga wote wazuri, nenda kaoe machame au kibosho ndio utajuwa nini maana ya mchaga
Mkuu Acha kunikosea heshimaSi wachaga wote wazuri, nenda kaoe machame au kibosho ndio utajuwa nini maana ya mchaga