Mkuu sio viroba, ni kweli vipo..kuna aina fulani ya viazi uchagani ambavyo huota na kutambaa juu ya miti na vunatoa kama matunda ambayo yanaliwa, pia shina lake nalo linaliwa...wamachame wanaita '' fibere''..., viko aina mbili...ambavyo hutambaa juu sana hadi kwenye miti mikubwa (hivi matunda/viazi vyake ni vitamu) na ambavyo hutambaa kimo cha wastani.. (hivi ni vichungu kama klorokwini na vina umbo dogo tofauti na hivyo vingine...