Watu wanaenda kutoa shukrani kwa wazee na mizimu yao wewe unataka uende nao amini nakuambia huwa migombani wanaenda wanafamilia tu matambiko na umwagaji damu unafanyika wewe utabaki jikoni ukichochea moto wa kisusio.kama una rafiki mchaga...muombe,mlilie December akiwa anaenda kwao na ww uende hata kwa gharama zako uone wanapokutana,majadiliano,mazungumzo,Target ktk biashara ndani ya mwaka mzima,ukifanikiwa kusikiliza tu amini nakwambia ukirudi utakua mpya kama upo sirias na maisha kuna kitu utakua umeongeza
Ndo maana kuna kitu kinaitwa siri ya mafanikio...Nilichogundua humu duniani, Ni ngumu mtu kukupa chimbo la sehemu wanakotafutia pesa , na hata akikwambia hatakufafanulia. Hii ndo inafanya matajiri wawe wachache humu duniani, mtu atakwambia Nina restaurant, lakini mbinu anayotumia kupata wateja hapo kwenye restaurant hawezi kwambia katu. So usitegemee hata hao wachaga kwamba watakuja hapa kumwaga madini.
Kwny wamiliki washule apo nakupnga shule nyng wamiliki wake wengi asilimia kubwa ni wahayaHawa wachaga wana nini?
Na shulee nying zinamilikiwa na wao
Ila wahaya kwao hawapathamini mkuuKwny wamiliki washule apo nakupnga shule nyng wamiliki wake wengi asilimia kubwa ni wahaya
shaban robert alipata kabla yake ...Sasa sema huyo Mangi alisomea nn😆😆?Mangi mareale mwenyewe alipata masters degree kutoka Cambridge miaka ya 20's
Ndugu zako hawana pesa ya matibabu mpaka wanakufa👇👇Pesa wanakosa walala nyumba za nyasi
Administrationshaban robert alipata kabla yake ...Sasa sema huyo Mangi alisomea nn[emoji38][emoji38]?
Unachekesha mkuuKwny wamiliki washule apo nakupnga shule nyng wamiliki wake wengi asilimia kubwa ni wahaya
Akili za wavivuWatu wanaenda kutoa shukrani kwa wazee na mizimu yao wewe unataka uende nao amini nakuambia huwa migombani wanaenda wanafamilia tu matambiko na umwagaji damu unafanyika wewe utabaki jikoni ukichochea moto wa kisusio.
Ila wachaga ni watu wakuhastle sana na nidhamu ya pesa huo ndio utafutaji wewe kama unatumia pesa kiholela ndugu mafanikio utayaskia kwa wenzako tu
Na hawa watu ninao wajua wanaumwa vidonda vya tumbo wako radhi wajinyime kula ili afanikishe jambo lake.
Kuna mmoja alianguka chini na kuzimia mida ya saa kumi, tukamwaisha hospital baada ya vipimo nesi anatuambia tutafute mtori tukaleta akapewa na drip za kutosha jamaa akawa fiti, kumbe ni njaa ilimwangusha na mfukoni alikuwa na kama laki nne na chenchi hivi alikuwa mfanyabiashara ya hardware.
😆😆😆Na alipewa tu kwa vile ni kibaraka hamna alichosomaAdministration
Eckebford sio ya mchaga ni ya mzungu yile mzee anasimamia aliachiwa kama msimamiziUnachekesha mkuu
Wachaga wanamiliki mashule na Hadi vyuo vikuu
Eckenford ni ya mchaga
Wewe kumbe hujui kituEckebford sio ya mchaga ni ya mzungu yile mzee anasimamia aliachiwa kama msimamizi
Masters ya kipindi hicho ni kama PhD Tano za leo[emoji38][emoji38][emoji38]Na alipewa tu kwa vile ni kibaraka hamna alichosoma