Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,009
- 17,457
Tuwaache ambao hawajaonja ndoa waionjeMambo ya ndoa hayo ,
Asingekuwa na hyo ndoa ,asingekuwa mtu.......
Siku hizi wivu wa mapenzi umegeuka kuwa "ugonjwa wa akili "Japo picha haijafunguka Wala video ila kupitia comments za wadau hali inatisha sana