Inabidi niige utaratibu huu wa kucheki salio. Nimeweka watu 10 kwenye tariff ya PAMOJA 10 ya zain. Nimekuja gundua jamaa mmoja ana-divert simu zake kwenda line ya mtandao mwingine. Inakula kwenye simu yangu, sio sh. moja kwa sekunde tena!
Wachaga bab-kubwa bwana; wahindi wanasema "hapana weka hela jicho yako hapana ona!" ikimaanisha "usiweke hela mahali ambapo jicho lako haliwezi ona"