Wachaga na vimobitel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachaga na vimobitel

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Shukuru, Apr 28, 2009.

 1. Shukuru

  Shukuru JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2009
  Joined: Sep 3, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Inasadikika kuwa kati ya wachaga 10, 8 wanaitumia simu kama ifuatavyo...

  1. Huangalia salio mara kwa mara ili mradi aonekane yupo bize na kimob chake.

  2. Kila mara hujisikia hamu ya kupiga sim kwa marafiki zake anaowapenda ila huishia kubip hata kwa namba asizozijua yaani za kujitungia tu.

  3. Huangalia salio kila mara anapotaka kubip na hata baada ya kubip huangalia salio tena ili kuwa na uhakika na closing balance kwenye simu yake.

  4. Hungalia salio hata baada ya kupigiwa

  5. Mara zote huweka dole gumba sehem ya kukatia sim hata kama amepigiwa na hufupisha maelezo na kuwa wa kwanza kuikata simu kama yeye ndio kapiga vile na baada ya hapo kama kawaida huangalia salio tena..
   
  Last edited: Apr 30, 2009
 2. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,044
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Hawa ni wachaga ama wapare?. Ndiyo maana napokea simu za kubeep nyingi toka moshi. nikiwapigia wanasema samahani tumekosea namba.
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Si kweli hata kidogo. Huo nakiri kuuita uongo mtupu!
  Ama wewe ni mpare nini? Mtani wa wachaga?
   
 4. Shukuru

  Shukuru JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2009
  Joined: Sep 3, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndio maana yake yaani mtu anajianzia tu.. 0713blahblah then anabip..
   
 5. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Halafu anayekubeep unamuuliza wewe kabila gani? Mi mchagga kha acheni utani mwingine ni wa ngumi.
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Apr 28, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Pole Eeka Mangi... shukuru mchokomozi kama nini siku hizi... teh... teh... teh... teh... teh..!

  Nakumbuka kule Kibong'oto... jamaa mmoja wa kichaga, alikuwa amekaa sana Dar. Kipindi kile maarufu DSM (tamka. Dizim). Alikuwa anataka kwenda haja msalani. Akawa anaelekea kwenye migomba na kopo lake la maji... mwenzie akawa anamshangaa... uvumilivu ukamshinda akaamua kumuuliza...!
  " Aisee mathawe unakwenda msalani na kopo la maji... ina maana utakawia sana mpaka usikie kiuu...!?"

  Masawe akamjinbu:
  "Hapana kakaaa, nikimaliza nataka kupiga m4t4ko Dekii"
   
 7. N

  Nesindiso Sir JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2009
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 374
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha uta aiseee!!! mmesidi kututania wachaka msee wangu!!!
   
 8. C

  Chukunchu Member

  #8
  Apr 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We shukuru tutake radhi mapema maana hutajua siku wala saa!
  Kwanza you just dont know masalio yaliyopo kwenye simu za wachaga ndo maana unachonga sana.
  Tena wewe tunakufahamu mzee wa tafadhali niongezee salio nalafu unaleta mdomo gani! Tutakuwa hutukutumii salio sisi.
  Koma kabisa we! Na ukicheza tutakuhamishia kwenye zeutamu uungane na babayako!
   
 9. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #9
  Apr 29, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hapo kazi ipo........
   
 10. s

  sikukuu Member

  #10
  Apr 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  " Aisee mathawe unakwenda msalani na kopo la maji... ina maana utakawia sana mpaka usikie kiuu...!?"  Hi hi hi hi hi hi hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  umenichekesana sana mpaka mbafu sinataka kufunjika
   
 11. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yote hayo tisa ,kumi imetokea siku moja jamaa tupo sehemu akajifanya anongea na simu tena akiwa na vicheko na maneno mazuru huku akiendelea na maongezi hayo mara simu hiyohiyo anayoongelea ikawa inaita alipigwa na butwa huku akionekana na uso wa aibu.kwa hiyo tuwache mambo ya kujionesha yasiokuwa na mana tunapokuwa na simu za mkononi.
   
 12. Shukuru

  Shukuru JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2009
  Joined: Sep 3, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Usifunjike mbafu aisee mathawe.....

  Basi unaambiwa kuna jamaa mmoja wa kichaga alipatikana na hatia ya kumgonga kijana mmoja na baskeli, jamaa akapelekwa mahakamani..ila kwa bahati nzuri akakuta hakimu anayeendesha kesi yake ni mdogo kiumri na ni mchaga mwenzake... hakimu akamtaka jamaa aelezee ni kivipi amgonge kijana wa watu na baskeli.. mtuhumiwa akaanza kuelezea.

  Mtuhumiwa: Unasikia msee..... mi nilikuwa napita njia'..(hakimu akamalizia "njiani", jamaa akaendelea) na nilikuwa nimebeba galoni la pombe, tena yote imemwagika kwa kweli... tena baskeli ilikuwa spii'..(hakimu akamalizia "spidi") afu ni kwenye mteremko..sasa nilipojaribu kumkwepa na yeye akanikwepa kwa hiyo akaja upande wa'..(hakimu akamalizia "wangu, afu malisia maneno aisee nitakufunga aisee") jamaaa akamjibu hakimu kwa kusema..."sawa hakimu nimekuele'..) ile anasubuiri hakimu amalizie "wa"...

  Hakimu: Nenda jela miesi sita meku...hakuna kesi tena.
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mpare mmoja wa Gonja alikutwa amekufa kwa Njaa, jamaa walipomsachi wakamkuta mfukoni ana laki Saba za Kununulia Mabati!
  Ubahili Utawaua
   
 14. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kweli huku uchagani shughuli,,,,juzi tu huko Kishimundu mahakama ya mwanzo,,,
  Jamaa alikuta mbuzi wa jirani yake wanakula mazao yake, mwenye shamba akachukua panga akafyeka kama mbuzi tano hivi, akagawia watu wale.
  Mwenye mbuzi akakimbilia polisi. Kule jama akafunguliwa shtaka kuharibu mali. Kwa kuwa dhamana ni haki ya mtuhumiwa basi jamaa akapewa dhamana. Siku moja kabla ya kupandishwa kizimbani akamtembelea mjombake ambaye anamwamini sana kwa masuala ya sheria.
  Basi mtuhumiwa akatoa story iilivyokuwa.
  Mjomba akamwambia akisomewa shtaka asikubali kamwe kuwa alifanya hivyo.
  Basi kesho yake mahakamani akasomewa shtaka mahakamani
  Hakimu: Mshitakiwa ni kweli au si kweli
  Mshitakiwa akamwangalia mjombaake akamuuliza ngaerikia mjomba (yaani niitikie mjomba?)
  Mjomba: Irikia ufungo miaka 15 ku****mayo (itikia ufungwe miaka 15 Kum***yo)
  Hakimu akachanganya mjomba na mshitakiwa wakaenda kwanza miezi 6 kwa lugha chafu halafu kesi ya awali bado palepale.
   
 15. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  |Ha ha h haaaaaaaaaaaaa, teh teh teeeeeeee, mkuu acha vibweka. |Hi nayo ilitakiwa ijitegemee maana si mchezo imetulia sana
   
 16. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kwi, kwi, kwi kwi, teh teh teh, thhhhhhhh
   
 17. Kisiwa S

  Kisiwa S Member

  #17
  May 2, 2009
  Joined: Apr 26, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utani huo.
   
 18. Shukuru

  Shukuru JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2009
  Joined: Sep 3, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  naona hii ungeipeleka kwenye ukumbi wa uchumi..... na sio jokes  teh teh teh
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  May 4, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Umenikumbusha kisa cha Mzee wa mmoja wa Kipare aliyekuwa akiishi karibu na Benki, baada ya kushawishiwa kwa muda mrefu na ndugu na marafiki zake aweke pesa Benki kwa usalama wa pesa zake, kwa taabu sana akakubali kuweka pesa Benki.
  Kuanzia siku hiyo alizoweka hizo pesa, Mzee wa Kipare usiku kucha anakesha dirishani na filimbi mdomoni, kila akipita mtu karibu na hiyo Benki, Mzee wa Kipare heshi piga filimbi kuwaamsha walinzi piii... piiiii....!
  Wote woga anaogopa, wasije wezi wakaiba pesa zake.... lol!
   
 20. Kamende

  Kamende JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2009
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee!!!

  Acheni hizo ninyi!! Kwani ni wachaga tu wanaangalia salio? Watu wengine wakiangalia aaaah. Lakini aangalie mchaga ishakuwa nongwa. Eti ni ubahili.
  Huu ni uonevu jamani.
   
Loading...