Wachaga na maendeleo-impressed

ameen proud to be chaga
 
wachaga mna sifa za kijinga km wakenya, vyuma vimekaza mnatafuta kiki mjulikane, ww ni mchaga pure hakuna msukuma mjinga aanze kusifia wapenda sifa za kijinga. umaskini ni mkali sana uchagani ndiyo maana hawakai kwako wanaishi km wakimbizi. wachaga wanapenda sana sifa tena za kijinga, akijenga kanyumba ti sifa kibao, akinnunu kagari ndiyo usiseme, wanaishi show off life
 
Hahahaha........acha nicheke maana hujui unachoongea. We fika ujionee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…