Wachaga na baskeli za phonex{anita}

Wachaga na baskeli za phonex{anita}

Rebo Tz

Senior Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
169
Reaction score
125
1475183562125.jpg


Wadau mimi naomba kuuliza...,
Hivi eti kuna muingiliano gani wa baiskeli za phonex a.k.a anita na biashara kwa wachaga...

Maana asilimia kubwa ya wachaga ninaowajua hapa town wanabaskel la anita hata kama awe na duka dogo au kubwa...,pia hata kama anapikipiki lazima anita liwepo pembeni...,sijui n utamaduni au vipi?   
 
Mchaga na baiskeli wapi na wapi?
Ndo maana nkasema kwa wachaga ninaowajua nawaona na baiki so sjui n wachaga wakimbizi au wamejipachika tuuu uchaga...,lakin nawaona weng wao wanazkubal sana anita...
 
mshikaji wachaga wengi hawajui baiskel uziendesha kabisa kwa sababu ya geographical ya kilimanjaro ni milima mawe na baridi kali

ungesema wasukuma wakurya na wamakonde ningekubaliana nawe.
 
..Kwamba Mkuu Hujui baiskeli haiitaji Bima na Helmet vyenye faini Ya laki tano au??!
 
Wachaga ni watu wa kazi.. phonex ni baisker ya kazi.. big up wachaga kwa kusaka mahela
 
Hivi toka lini WACHAGA WAKAWA WAUMINI WA BAISKELI??? bora ungesema gari za PICK-UP
 
Wachaga kwa toyota stout ni noma,wanapenda sana hizo ndinga.lakini kwa miaka hii imepotea sana hiyo gari lakini ukienda kwa wachaga lazima ukutane nayo.
 
Back
Top Bottom