WACHAGA KILIMANJARO vs WAHAYA BUKOBA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WACHAGA KILIMANJARO vs WAHAYA BUKOBA

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ngarambe, Apr 16, 2012.

 1. n

  ngarambe Senior Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wahaya mi naona wanapenda elimu na wachaga wanapenda biaShara, na pia wahaya wanajua mapenzi na wachaga wanajua pesa,,,,,
   
 2. Dp800

  Dp800 Senior Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Endelea kuangalia ukimaliza nisimulie.
   
 3. n

  ngarambe Senior Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wahaya wako juu wachaga wako chini mno hawamfikii mhaya kwa lolote
   
 4. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  kwa vigezo vipi?
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kweli wahaya wako juu kwas ile kitu wachaga hawafikii hata kidogo.
  ila kwenye mambo mengine mwulizeni kikwete atawaambia ni kina nani anaowategemea.

  wala msiumize vichwa sana tafuteni selection za kuanzia o level mpaka univercity.
  mpaka hapo ubishi utaisha.

  ukiona hiyo ni ngumu safiri nchi yoyote duniani taja hayo makabila ulinganishe ni nchi ngapi zinalijua kila kabia na ni kwa nini wanalijua?
   
 6. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Meku hapo kwenye red ni wapi?
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,876
  Likes Received: 23,502
  Trophy Points: 280
  JF usipowazungumzia wahaya na wachaga unajihisi kama umekuwa shoga vile. Kila siku hapa ni wahaya na wachaga. Give us a break! Manina!
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,876
  Likes Received: 23,502
  Trophy Points: 280
  Afu eti wachaga kilimanjaro Vs wahaya bukoba. Sema wahaya Kagera we nungayembe.... Kilimanjaro ni mkoa, Bukoba si mkoa... Mkoa ni Kagera kama jografia imekubemenda tukusaidie makuzi.
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Kiki chalema lau mangi? Ukameva mndu mtue n'yo matatiso akwe...
  Wosho yaye!
   
 10. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,340
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  kila siku kujisifia.................................yyyyyyyyy
   
 11. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wahaya ndio kabila wanaongoza kufilisika uzeeni,
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kwa mapenzi sawa ila si vingine
   
 13. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jiji la Univer,pembeni kidogo na moshi,hupajui..!!???
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kila kitu pesa bwana watanizangu WACHAGA WAKO JUU
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  Bado sijaelewa mada..tunapambanisha au?
   
 16. Mkomamanga

  Mkomamanga JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 818
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kama Netanyahu alivotuita Tanzania kuwa ni 'irrelevant nation' hapa pia tuna tread ambayo ni 'irrelevant to JF' maana inashindanisha nini na nini? Kuwa juu bila vigezo ni 'irrelevant and immaterial'. Labda tungetaja vigezo kama ni Uchumi, kama ni utamaduni au kama ni elimu n.k
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  mamire wa piyaya huyu....
   
 18. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35  am supporting u by100%. PAMBANISHA WAHAYA NA WAMAKONDE AU WAZARAMO MKUU. Hao ndo level moja (wanafanania). LEVEL YA WACHANGA NI WAPARE PEKEE IN TZ.
   
Loading...