Wachaga bana awana hiana kabisa!!!!!!

Wachaga bana awana hiana kabisa!!!!!!

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Mume mmoja wa kichaga alimfumania mke wake na mjita
mume:kwa nini unatembea na mkewangu
mjita:samahani sikupenda nilipitiwa tu naomba nitoe faini ya sh 5000
mjita akatoa alfu alfu kumi
mume wa kichaga:aise kwa kweli sina chenchi embu malizia ya mwisho tumalize chenchi iliobaki

mjita akala kona hata chenchi akusubiri akajua panga linamsubiri
 
Nyingine ya facebook,leo umeamua kuhamishia thread za jokes huku MMU.
 
embu liacheni kabila letu.............naona mnazidi kutuonea sasa, dada zetu mnawasema kwa miguu ka ya kuku na ni wauaji!!!, mtuache kabsaaaa
 
Ngoja waje wakushikishe adabu..unafikiri upo fb? Humu ni Jf..wenye kabila wanakuja huyo ni mdogo tu lakini umesikia alivyosema super thinker. Ngoja waje wakubwa zake.
 
Last edited by a moderator:
embu liacheni kabila letu.............naona mnazidi kutuonea sasa, dada zetu mnawasema kwa miguu ka ya kuku na ni wauaji!!!, mtuache kabsaaaa

hahahaha ila kusema kweli hiyo ya miguu ni kweli. wachaga wengi wanawake hawana miguu hahahaha
 
Copy and Modify.

Kuwa Creative kidogo.
 
Mh wachaga taifa kubwa eti hujui??,naona mnatafuja vijisababu visivyo na vichwa wala miguu,,hamshangai kwa nn kila siku watu wanaoa wanawake wakichaga.
 
Sasa kama hawana miguu wana nini?

Jaribu kufikiria pipa lililosimamishwa juu ya "spokes" mbili za baiskeli...basi hivyo ndivyo miguu yao ilivyo with respect to miili yao.
 
embu liacheni kabila letu.............naona mnazidi kutuonea sasa, dada zetu mnawasema kwa miguu ka ya kuku na ni wauaji!!!, mtuache kabsaaaa
kwani uongo ni kweli ukiona ana miguu minene atakuwa mchanganyiko.....afu usimaindi hiyo ni utani
 
Eee! Mungu utusaidie tuendelee ku survive bcs daily they try to make infrastructures of destroying our appearence in public but we will overcome this in the name of JESUS CHRIST Amen!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom