Wachache wanaoifaidi Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachache wanaoifaidi Tanzania

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mhafidhina, Feb 5, 2011.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wachache wanaofaidi...!

  Wachache.jpg


  Wachache 1.jpg
   
 2. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  ata we unaruhusiwa rahajipe mwenyewe
   
 3. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hao ndio akina nani? na wanafaidi nini? naona huyo mshikaji aliyeshika kamera kwenye picha ya pili tak* lake la upande wa kulia limevimba sijui ndio mihela hiyo?
   
 4. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  akina nani hao?
   
 5. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  [​IMG]
   
 6. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  [​IMG]wanfaidi nini? na ni akina nai?
  kwani wewe umekatazwa kufaidi?
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama kawa nchi inajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!!!
   
 8. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Hebu tueleweshe zaidi. Wanafaidi nchi kwasbabu wana vitambi au kuvaa miwani? Au ni akina nani? Mimi naona ni watu walio comfortable tu waki enjoy view probably national park.Ila wamekaa kifisadi fisadi hahah but don't quote me on that.
   
 9. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Waliopo hapo ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Tanzania Tourist Board, Bw David Mattaka(Kulia)akimwonyesha kitu mjumbe wa bodi Bibi Rose Abdallah (kushoto)na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Dk Aloyce Nzuki wakati walipotembelea hifadhi ya taifa ya ziwa Manyara Hivi karibuni.

  Hio picha ya pili ni:

  Bw David Mattaka(kushoto)Rose Abdallah(wa pili kushoto)Mh Raynald Mrope Katikati,Mh George Malima Lubeleje(Wa Pili Kulia)wakiwa katika picha ya pamoja wakiwa njiani kuelekea kwenye bonde la Ngorongoro
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mhhh haya mie simjui hata mmoja
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Ila wamekaa KIFISADI?, - acha chuki wewe.
   
 12. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Tatizo wanaua Shirika la Ndege la Tanzania (ATC) huku wanatumia hela za shirika ambazo ni zetu Watanzania kwenda kula maraha mbugani (management ya shirika na bodi ya wakurugenzi).
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kutembelea mbunga za wanyama ndy KULA NCHI?......au unaongelea mambo mengine?
   
 14. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Tunaambiwa kila siku tukuze utalii wa ndani hatutaki. Wachache wakitoa mfano wanakula nchi!
   
 15. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  lakini si wanatimiza majukumu yao mbona sijaona tatizo hapo?
   
Loading...