Wachache wamemuelewa prof. Muhongo

Wachache wamemuelewa prof. Muhongo

Joined
May 31, 2015
Posts
5
Reaction score
0
Kama CCM watakuwa wa kuendelea kuongoza nchi, basi na waache porojo nyingi na wamsimamishe Prof. Muhongo. Huyu muhemishimiwa yuko makini (smart) sana katika utendaji na katika kupangilia mikakati. Kama ulisikiliza hotuba yake ya kutangaza nia, tukio ambalo halikuwa na makuu, kwa watu makini watakubaliana na yeye kuwa nchi yoyote duniani haiwezi endelea bila tafiti. Hili ni suala ambalo viongozi ama wanasiasa wengi wamekuwa wakilipa uzito mdogo sana na kujikita zaidi kwenye mambo ambayo ni ya kufunika kombe (cosmetic), ambayo mara nyingi yanakuwa sio endelevu.
 
Back
Top Bottom