Wacha We.............Mnyalu Akilazimisha Mambo

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
13880420_1100029573400816_3477919325426955802_n.jpg
 
mzee mwenye upara anacheza shoki hataaarr
 
hahahahahahahaaa acha kabisa, asikwambie mtu. Ukiona mtu hakunwi na mziki au haliwaziwi na mziki basi ujue kumkuna huyo mtu au kumliwaza huyo mtu ni kazi zaidi ya kupiga makasia.

I love music, I love dancing and I enjoy both....... deep in music....acha kabisa.
 
Hahaha hiyo ilikuwa siku ya kuupokea Mwenge Mkoa wa Songwe ktk wilaya ya Songwe Mkwajuni ilikuwa trh1/6/2016
 
Ha ha ha! Mkuu inaonesha unahusudu sana mchezo wa kikubwa!
 
Hapo Kazi tu!! Kweli vyeo vinatafutwa kwa bidiii
 
Hahaha hiyo ilikuwa siku ya kuupokea Mwenge Mkoa wa Songwe ktk wilaya ya Songwe Mkwajuni ilikuwa trh1/6/2016
Hio ilikuwa ni tarehe 8/8/2016 kwenye uwanja wa nane nane wa John Mwakangale - Mbeya.
 
Back
Top Bottom