Wacha ubwege, utaliwa!!

Ndiyo maana dada yangu siku hizi anatabia mbofu mbofu kumbe mmeambukizana eeh. Dada yangu umeshindwa kumpa mimba umempa maneno leo mmasai anaongea kama mdaresilamu....
huo umasai ni moja ya sababu ya kuniganda
 
hivi visa hutokea..nina rafiki yangu mkenya..kazi yake uanajeshi..kwa vile wakati mwingi alikuwa mipakani kikazi akawa amemfungulia bibiye joint account..kumbe mke akawa kazi kutumia zile hela kwa manufaa yake bila kumjuza mumewe..mwanamme aliporejea akapata hamna chochote cha maana kwenye akaunti ila hangemtimua mkewe kwani hela zote keshawekeza kwenye miradi yake hivyo ingekuwa hasara kubwa kumtimua..
 
Mapenzi uchizi... mimi kuna katoto nimekapenda nimekapa hadi password ya JF. Kapost kapendacho

Post hata pumba mama au mtama nitadonoa tu.
Ndio maana nilikuwa nashangaa...kumbe sometimes ni hako kabinti ndio kanaposti humu! 🙂🙂🙂
 
I can't get my head around this......
 
Aisee! hivi mtoto watu anatoa ATM mtu anapokea Tu,kwa ajili ya hako kadude kake...Kuweni na huruma nyie wadada na nyie mshakuwa majipu sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…