Wacha tu tuzisingizie condom

Mhhhhhhh! shemejiiiiiiiii? nasikitika tu nimepoteza namba zako, ningekutwangia uiedit hiyo post ikae uzuri zaidi
 
Bujibuji unakosea kutumia mfano wa faiza Fox huyo ni zaidi ya mzazi wako kiumri hawezi kuzaa tena yuko kwenye menopause i.e (the time in a woman's life when menstruation diminishes and ceases, usually between the ages of 45 and 50). cc. Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
NGULI, wewe una kakitu na FaizaFoxy, je umeanza lini kuwa msemaji wake wa mambo yake ya ndani?
Iweje umhusishe hasimu wake mkuu ki itikadi?
 
Last edited by a moderator:

"Baba'ko" umemuona jana? alikuwa akiongea na ndugu zetu wenye ulemavu.
 
NGULI, wewe una kakitu na FaizaFoxy, je umeanza lini kuwa msemaji wake wa mambo yake ya ndani?
Iweje umhusishe hasimu wake mkuu ki itikadi?
Bujibuji huyo NGULI asikusumbuwe nilimfanyia analysis ya maradhi yake yanayomsubuwa ya kudhani kuwa Kikwete ni babake mzazi, ni maradhi kama aliyonayo Yericko Nyerere, huyu mwingine anaota kuwa Nyerere ndio baba'ke mzazi.

Niko katika kuwapa tiba ya kisaikolojia, naona @Yericko ameanza kupona, ingawa bado ana delusions za kusema babake ni Yohannes Nyerere wakati Nyerere hana udugu nae hata kidogo. Alifikia mpaka kusema watoto wa Nyerere ni dadda zake na kaka zake, mpaka akaja mtoto wa Nyerere orijino Andrew Nyerere akamtoa nishai humu-humu JF kwa kusema kuwa kaulizia Msasani na Mwitongo hakuna amjuae mtu anaeitwa @Yericko katika ukoo wao. Ndio kidogo akaanza kujistukia kuwa yote yale ni ma hallucination tu.

Si unaona mpaka JF wamemshtukia wamemuondoa kwenye "verified" memba.
 
Last edited by a moderator:



Asee hii mambo pelekeni siasani huku tunaongelea papuchi tu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…