Wacha tu tuzisingizie condom

lara 1 njoo ujibu tuhuma za Bujibuji huku. Au ni tuhuma zinazoendana na ukweli??
 
Umempa Smile mimba: "Kwa nini hamkutumia condom?" "Aliniambia yuko safe days!" (kumbe in real sense uliibeba ila ukaiacha inaning'inia kwenye mfuko wa jeans)
bila condom ina raha yake bwana ..tena ukipige kiwiziwizi na nguo mchana
 
Tangu nizaliwe nshakutana na wanawake zaidi ya 208 na hakuna hata mmoja aliyenilazimisha nitumie kondom. utumiaji wa kondom ni uamuzi wa mwanaume. baaas
 
Last edited by a moderator:
Tangu nizaliwe nshakutana na wanawake zaidi ya 208 na hakuna hata mmoja aliyenilazimisha nitumie kondom. utumiaji wa kondom ni uamuzi wa mwanaume. baaas

Asprin halafu likitokea la kutokea mwanaume ndio anabebeshwa lawama za kumuharibia mwenzake maisha, hata kama limama limemzidi umri mwanaume
 
Last edited by a moderator:
Mechi na ndomu huwa hata hainogi , bora tupimane ngoma halafu tupige meat kwa meat aseeeeh!!!!!!!!!!!
 
Asprin halafu likitokea la kutokea mwanaume ndio anabebeshwa lawama za kumuharibia mwenzake maisha, hata kama limama limemzidi umri mwanaume

Hahaha wakati lilikuwa linakata mauno kama feni.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja mimi under 18 nisepe mtanikomaza bure halafu dadangu CHAMInglady asijenikuta akaenda kumwambia mama.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…