Wabunge wetu ni walafi

Kwani lini walikuwa na huruma kwa wapiga kura?
Kwa maneno YES, ila kwa maslahi yao NO,
Utawasikia wakilalama weeeeeeeeeee alafu wataishia na kuunga mkono asilimia mia moja. Sijawahi kusikia anayeunga asilimia ishirini!
 
hwajawahi kuwa na huruma kwetu hata kidogo lakini sasa hivi wanakoelekea ni kutaka kubinafsisha kabisa haya majimbo ya uchaguzi kwani wanataka kutengeneza pesa ya kuwahonga wapiga kura ambao wana maisha magumu na ya kifukara ili waendelee kuchuma na kubembea kwenye vile viti
 
Wabunge wetu ni majambazi kabisa, bora hata majambazi ya silaha maana yanaiba kwa wachache tena wenye hela lakn "majambazi wabunge" wanafanya "mass killing" wanawaibia na kuua hata watoto wadogo wenye chini ya mwaka mmoja!
Hizo pesa wanazotaka kupewa zitaishia kwenye pombe, umalaya n.k.
Shame on you wabunge wa Tanzania..
 
Sasa wao wanafanya hivyo kwa ajili yao, sasa ni sisi watu na Watanzania kuamua cha kufanya kuliko kubaki hivi hivi
 
Sasa wao wanafanya hivyo kwa ajili yao, sasa ni sisi watu na Watanzania kuamua cha kufanya kuliko kubaki hivi hivi

Cha kufanya hapa Josh ni kukamata majina ya wale wote wanaotetea ufisadi na kuyatupa kapuni hapo 2010, hapo ndio tulipo na sauti ya kutosha wananchi wa Tanzania. Uchaguzindio silaha yetu ya mwisho na yenye nguvu kuliko hata jiwe fatuma
 
Back
Top Bottom